Utengenezaji sabuni ya mche ya kawaida (sio ya magadi)
JIUNGE NA GROUP LA UTENGENEZAJI SABUNI WHATSAPP, Tuna walimu waliobobea UTENGENEZAJI sabuni.
Mahitaji
1 maji
Maji ni kwaajili ya kuandaa lye . caustic soda+Water=Lye
2 mafuta yenye asili ya kuganda .mfano mawese,nazi,mise,mbosa nk au yoyote ya wanyama .Mafuta ni kwaajili ya kutengenezea sabuni yenyewe yaani mafuta + Lye =Soap .
3 caustic soda .Hii utaipata dukani.
KAZI YA CAUSTIC SODA NI:
>kuyaunganisha mafuta na maji kuwa kitu kimoja Kama inavyofahamika mafuta hayawezi kuchanganyika na maji hivyo inahitajika jitihada maalumu kuyaunganisha mafuta na maji.
>Kuifanya sabuni igande.Caustic solution (caustic soda + maji ) huigandisha sabuni na kuwa gimba Moja lililoungana.
>husababisha povu kutokea. Lye au caustic solution katika sabuni ya mche Ndio husababisha sabuni kutoa povu unaloliona kwenye sabuni.
>kutoa uchafu kwenye nguo. Lye Ndio hutoa uchafu kwenye nguo .Uchafu ukiungana na sabuni iliyotengenezwa Kwa lye (caustic soda +Maji) huyeyuka na kuachia nguo.
4 Glycerine .
Hii kazi yake ni kuleta ulaini ,kuzuia mchubuko na hii ndio huifanya sabuni iwe laini na iteleze.
5 pafyumu .
Hii huleta harufu nzuri katika sabuni. Pafyumu zipo aina nyingi so choose what you prefer most .
6 maji .
Kutengenezea kemikali ya maji yaani maji +caustic .
7 chumvi .Hii ni ile ya kawaida ya mawe ( sio ile ya kununua kwenye vipakiti) .
![]() |
Malighafi za kutengeneza sabuni |
0 Comments